2 Chronicles 23:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivi ndivyo mtakavyofanya: Theluthi moja yenu nyinyi makuhani na Walawi mtakaoshika zamu siku ya Sabato, mtayalinda malango,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi hivi ndivyo iwapasavyo kufanya: Theluthi yenu makuhani na Walawi ambao mnaingia zamu siku ya Sabato mtalinda milangoni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hili ndilo neno mtakalolifanya; theluthi yenu, ninyi mwingiao siku ya sabato, wa makuhani, na wa Walawi, mtalinda milangoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivi ndivyo mtakavyofanya: theluthi moja yenu nyinyi makuhani na Walawi mtakaoshika zamu siku ya Sabato, mtayalinda malango,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi hili ndilo liwapasalo kufanya: Theluthi ya makuhani wenu na Walawi ambao watakuwa kwenye zamu siku ya Sabato watalinda milangoni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi hivi ndivyo iwapasavyo kufanya: Theluthi yenu makuhani na Walawi ambao mnaingia zamu siku ya Sabato mtalinda milangoni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hili ndilo neno mtakalolifanya; theluthi moja yenu, ninyi makuhani na Walawi mwingiao zamu siku ya sabato, mtalinda milangoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivi ndivyo mtakavyofanya: Theluthi moja yenu nyinyi makuhani na Walawi mtakaoshika zamu siku ya Sabato, mtayalinda malango,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ndilo neno, mtakalolifanya: fungu lenu la tatu, ninyi watambikaji na Walawi, watakaoingia kazi siku ya mapumziko, sharti walinde malangoni;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hili ndilo neno mtakalolifanya; theluthi yenu, ninyi mwingiao siku ya sabato, wa makuhani, na wa Walawi, mtalinda milangoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi ndivyo mutakavyofanya: sehemu moja ya tatu ya kundi lenu ninyi makuhani na Walawi mutakaoshika zamu siku ya Sabato, mutalinda milango,