2 Chronicles 23:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walawi watamzunguka mfalme, kila mtu na silaha yake mkononi; na mtu yeyote atakayejaribu kuingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, atauawa. Mkae na mfalme popote aendapo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walawi watajipanga kumzunguka mfalme, kila mtu akiwa na silaha zake mkononi. Mtu mwingine yeyote aingiaye Hekaluni lazima auawe. Kaeni karibu na mfalme popote aendapo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao Walawi watamzunguka mfalme pande zote, kila mtu mwenye silaha zake mkononi; naye awaye yote aingiaye nyumbani na auawe; nanyi mfuatane na mfalme, aingiapo na atokapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walawi watamzunguka mfalme, kila mtu na silaha yake mkononi; na mtu yeyote atakayejaribu kuingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, atauawa. Mkae na mfalme popote aendapo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walawi watajipanga kumzunguka mfalme, kila mtu akiwa na silaha zake mkononi. Mtu mwingine ye yote aingiaye Hekaluni lazima auawe. Kaeni karibu na mfalme po pote aendapo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walawi watajipanga kumzunguka mfalme, kila mtu akiwa na silaha zake mkononi. Mtu mwingine yeyote aingiaye Hekaluni lazima auawe. Kaeni karibu na mfalme popote aendapo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao Walawi watamzunguka mfalme pande zote, kila mtu mwenye silaha zake mkononi; naye awaye yote aingiaye nyumbani na auawe; nanyi mfuatane na mfalme, aingiapo na atokapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walawi watamzunguka mfalme, kila mtu na silaha yake mkononi; na mtu yeyote atakayejaribu kuingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, atauawa. Mkae na mfalme popote aendapo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao Walawi sharti wamzunguke mfalme pande zote, kila mtu akiyashika mata yake, kisha kila atakayeingia Nyumbani mwa Bwana na auawe! Hivyo sharti mwe na mfalme, akiingia, hata akitoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao Walawi watamzunguka mfalme pande zote, kila mtu mwenye silaha zake mkononi; naye awaye yote aingiaye nyumbani na auawe; nanyi mfuatane na mfalme, aingiapo na atokapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walawi watamuzunguka mufalme, kila mutu na silaha yake katika mukono; na mutu yeyote atakayejaribu kuingia katika nyumba ya Yawe, atauawa. Mukae na mufalme anapoingia ndani na anapotoka inje.”