2 Chronicles 23:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walawi na watu wa Yuda walitii amri zote alizotoa kuhani Yehoyada. Kila ofisa akawachukua watu wake wote, wale waliokuwa wamemaliza zamu na wale waliokuwa wanaingia kushika zamu siku ya Sabato; kwa sababu Yehoyada hakuwaruhusu waondoke.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walawi na watu wote wa Yuda wakafanya vile kuhani Yehoyada aliagiza. Kila mmoja akawachukua watu wake, wale waliokuwa wakiingia zamu siku ya Sabato na wale waliokuwa wakienda mapumziko, kwa sababu kuhani Yehoyada hakuruhusu kikosi chochote kiondoke.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Walawi na Yuda wote wakafanya sawasawa na yote aliyowaamuru Yehoyada kuhani; wakawatwaa kila mtu watu wake, hao watakaoingia siku ya sabato, na wale watakaotoka siku ya sabato; kwa maana Yehoyada kuhani hakuzifumua zamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walawi na watu wa Yuda walitii amri zote alizotoa kuhani Yehoyada. Kila ofisa akawachukua watu wake wote, wale waliokuwa wamemaliza zamu na wale waliokuwa wanaingia kushika zamu siku ya Sabato; kwa sababu Yehoyada hakuwaruhusu waondoke.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walawi na watu wote wa Yuda wakafanya vile vile kama Kuhani Yehoyada alivyoagiza. Kila mmoja akachukua watu wake, wale waliokuwa wakienda kwenye zamu siku ya Sabato na wale waliokuwa wakitoka kwenye zamu, kwa sababu Kuhani Yehoyada hakuruhusu kikosi cho chote kiondoke.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walawi na watu wote wa Yuda wakafanya kama vile kuhani Yehoyada aliagiza. Kila mmoja akawachukua watu wake, wale waliokuwa wakiingia zamu siku ya Sabato na wale waliokuwa wakienda mapumziko, kwa sababu kuhani Yehoyada hakuruhusu kikosi chochote kiondoke.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Walawi na Yuda wote wakafanya kama alivyowaamuru Yehoyada kuhani; wakawatwaa kila mtu watu wake, hao watakaoingia siku ya sabato, na wale watakaotoka siku ya sabato; kwa maana Yehoyada kuhani hakuwaruhusu waondoke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walawi na watu wa Yuda walitii amri zote alizotoa kuhani Yehoyada. Kila ofisa akawachukua watu wake wote, wale waliokuwa wamemaliza zamu na wale waliokuwa wanaingia kushika zamu siku ya Sabato; kwa sababu Yehoyada hakuwaruhusu waondoke.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walawi na Wayuda wote wakayafanya yote, kama mtambikaji Yoyada alivyowaagiza, kila mtu akawachukua wate wake walioingia kazi siku ya mapumziko nao waliotoka kazi siku ya mapumziko, kwani mtambikaji Yoyada hakuwapa ruhusa waliozimaliza zamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Walawi na Yuda wote wakafanya sawasawa na yote aliyowaamuru Yehoyada kuhani; wakawatwaa kila mtu watu wake, hao watakaoingia siku ya sabato, na wale watakaotoka siku ya sabato; kwa maana Yehoyada kuhani hakuzifumua zamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walawi na watu wa Yuda walitii amri zote kuhani Yoyada alizotoa. Kila mukubwa akawatwaa watu wake wote, wale waliokuwa wamemaliza zamu na wale waliokuwa wanaingia kushika zamu siku ya Sabato; kwa sababu Yoyada hakuwaruhusu waondoke.