2 Chronicles 24:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakuu wote na watu wote walifurahi wakaleta kodi yao wakaitumbukiza kwenye sanduku mpaka walipomaliza kufanya hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maafisa wote na watu wote wakaleta michango yao kwa furaha, wakaweka kwenye kasha hadi likajaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakafurahi maakida wote na watu wote, wakaleta na kutia ndani ya kasha, hata wakaisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakuu wote na watu wote walifurahi wakaleta kodi yao wakaitumbukiza kwenye sanduku mpaka walipomaliza kufanya hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maafisa wote na watu wote wakaleta michango yao kwa furaha, wakaweka kwenye kasha mpaka likajaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maafisa wote na watu wote wakaleta michango yao kwa furaha, wakaweka kwenye kasha mpaka likajaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakafurahi wakuu wote na watu wote, wakaleta na kutia ndani ya kasha, hadi wakaisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakuu wote na watu wote walifurahi wakaleta kodi yao wakaitumbukiza kwenye sanduku mpaka walipomaliza kufanya hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakuu wote na watu wote wakafurahi, wakayaleta, wakayatia mle kashani, hata wakalijaza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakafurahi maakida wote na watu wote, wakaleta na kutia ndani ya kasha, hata wakaisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wote na watu wote wakafurahi wakaleta kodi yao wakaitumbukiza kwenye sanduku mpaka walipomaliza kufanya hivyo.