2 Chronicles 24:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo mafundi hao walishughulika na kazi hiyo kwa bidii, wakairudisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu katika hali yake ya awali, wakaiimarisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu walioshughulika na kazi walikuwa wenye bidii, nayo kazi ya kukarabati ikaendelea vizuri mikononi mwao. Wakalitengeneza upya Hekalu la Mwenyezi Mungu likarudi katika hali yake ya awali, na wakaliimarisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo mafundi wakafanya kazi yao, nao wakaimaliza, wakaisimamisha nyumba ya Mungu kama ilivyopasa, wakaifanya imara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo mafundi hao walishughulika na kazi hiyo kwa bidii, wakairudisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu katika hali yake ya awali, wakaiimarisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu walioshughulika na kazi walikuwa wenye bidii, nayo kazi ya kukarabati ikaendelea vizuri mikononi mwao. Wakalitengeneza upya Hekalu la BWANA likarudi katika hali yake ya awali na kuliimarisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu walioshughulika na kazi walikuwa wenye bidii, nayo kazi ya kukarabati ikaendelea vizuri mikononi mwao. Wakalitengeneza upya Hekalu la bwana likarudi katika hali yake ya awali na kuliimarisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo mafundi wakafanya kazi yao, nao wakaimaliza, wakaisimamisha nyumba ya Mungu kama ilivyopasa, wakaifanya imara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo mafundi hao walishughulika na kazi hiyo kwa bidii, wakairudisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu katika hali yake ya awali, wakaiimarisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao mafundi wakazifanya kazi zao, kwa kazi za mikono yao matengenezo yakaendelea, wakaisimamisha Nyumba ya Bwana kuwa, kama ilivyokuwa, wakaishupaza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo mafundi wakafanya kazi yao, nao wakaimaliza, wakaisimamisha nyumba ya Mungu kama ilivyopasa, wakaifanya imara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo wafundi hao walishugulika na kazi hiyo kwa bidii, wakairudisha nyumba ya Yawe katika hali yake ya zamani, na kuiimarisha.