2 Chronicles 24:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Yehoyada alizeeka na alipofikisha umri wa miaka 130, alifariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Yehoyada alikuwa mzee aliyeshiba siku alipofariki. Alikufa akiwa na umri wa miaka mia moja na thelathini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Yehoyada akawa mzee, mwenye umri mwingi, akafa; alipokufa alikuwa na umri wa miaka mia na thelathini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Yehoyada alizeeka na alipofikisha umri wa miaka 130, alifariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yehoyada alikuwa mzee aliyeshiba siku wakati alipokufa. Alikufa akiwa na umri wa miaka 130.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Yehoyada alikuwa mzee aliyeshiba siku wakati alipofariki. Alikufa akiwa na umri wa miaka 130.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Yehoyada akawa mzee, mwenye siku nyingi, akafa; alipokufa alikuwa na umri wa miaka mia moja na thelathini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Yehoyada alizeeka na alipofikisha umri wa miaka 130, alifariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoyada alipokuwa mzee wa kushiba siku, akafa; akawa mwenye miaka 130 alipokufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Yehoyada akawa mzee, mwenye umri mwingi, akafa; alipokufa alikuwa na umri wa miaka mia na thelathini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yoyada akazeeka na alipofikisha umri wa miaka mia moja na makumi tatu, akakufa.