2 Chronicles 24:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kifo cha Yehoyada, wakuu wa Yuda walimjia mfalme Yoashi wakamsujudia, wakamshawishi, naye akakubaliana nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kifo cha Yehoyada, wakuu wa Yuda walikuja kumpa mfalme heshima, naye akawasikiliza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata baada ya kufa kwake Yehoyada, wakuu wa Yuda wakamwendea mfalme, wakamsujudia. Naye mfalme akawasikiliza maneno yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kifo cha Yehoyada, wakuu wa Yuda walimjia mfalme Yoashi wakamsujudia, wakamshawishi, naye akakubaliana nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kifo cha Yehoyada, wakuu wa Yuda walikuja kumpa mfalme heshima, naye akawasikiliza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kifo cha Yehoyada, wakuu wa Yuda walikuja kumpa mfalme heshima, naye akawasikiliza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata baada ya kufa kwake Yehoyada, wakuu wa Yuda wakamwendea mfalme, wakamsujudia. Naye mfalme akawasikiliza maneno yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kifo cha Yehoyada, wakuu wa Yuda walimjia mfalme Yoashi wakamsujudia, wakamshawishi, naye akakubaliana nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoyada alipokwisha kufa, wakuu wa Wayuda wakaja, wakamwangukia mfalme; ndipo, mfalme alipowasikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata baada ya kufa kwake Yehoyada, wakuu wa Yuda wakamwendea mfalme, wakamsujudia. Naye mfalme akawasikiliza maneno yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya kifo cha Yoyada, wakubwa wa Yuda wakamwendea mufalme Yoasi wakainama uso mpaka chini mbele yake, wakamushawishi, naye akakubaliana nao.