2 Chronicles 24:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, watu wakaacha kuabudu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao, wakaanza kuabudu Maashera na sanamu. Ghadhabu ya Mungu iliwaka juu ya Yuda na Yerusalemu kwa sababu ya hatia hii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaacha Hekalu la Mwenyezi Mungu, Mungu wa baba zao, wakaabudu nguzo za maashera na sanamu. Kwa sababu ya hatia yao, hasira ya Mungu ikawajia Yuda na Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaiacha nyumba ya Bwana, Mungu wa baba zao; wakatumikia maashera na sanamu; ghadhabu ikawajia Yuda na Yerusalemu kwa sababu ya hiyo hatia yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, watu wakaacha kuabudu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao, wakaanza kuabudu Maashera na sanamu. Ghadhabu ya Mungu iliwaka juu ya Yuda na Yerusalemu kwa sababu ya hatia hii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaacha Hekalu la BWANA, Mungu wa baba zao, wakaabudu nguzo za maashera na sanamu. Kwa sababu ya kosa lao, hasira ya Mungu ikaja juu ya Yuda na Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaacha Hekalu la bwana, Mungu wa baba zao, wakaabudu nguzo za maashera na sanamu. Kwa sababu ya hatia yao, hasira ya Mungu ikawajia Yuda na Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaiacha nyumba ya BWANA, Mungu wa baba zao; wakatumikia Maashera na sanamu; ghadhabu ikawajia Yuda na Yerusalemu kwa sababu ya hiyo hatia yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, watu wakaacha kuabudu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao, wakaanza kuabudu Maashera na sanamu. Ghadhabu ya Mungu iliwaka juu ya Yuda na Yerusalemu kwa sababu ya hatia hii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaiacha Nyumba ya Bwana Mungu wa baba zao, wakaitumikia miti ya Ashera na nguzo za kutambikia; ndipo, Mungu alipoikasirikia nchi ya Yuda na Yerusalemu kwa kuzikora hizo manza,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaiacha nyumba ya BWANA, Mungu wa baba zao; wakatumikia maashera na sanamu; ghadhabu ikawajia Yuda na Yerusalemu kwa sababu ya hiyo hatia yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, watu wakaacha kuabudu katika nyumba ya Yawe, Mungu wa babu zao, wakaanza kuabudu Maashera na sanamu. Kasirani ya Mungu ikawaka juu ya Yuda na Yerusalema kwa sababu ya kosa lile.