2 Chronicles 24:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wote kuhani Yehoyada alipokuwa hai Yoashi alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu miaka yote ya Yehoyada kuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa Bwana siku zote za Yehoyada kuhani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wote kuhani Yehoyada alipokuwa hai Yoashi alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA miaka yote ya Yehoyada kuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa bwana miaka yote ya Yehoyada kuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zote za Yehoyada kuhani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wote kuhani Yehoyada alipokuwa hai Yoashi alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoasi akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana siku zote, mtambikaji Yoyada alizokuwapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zote za Yehoyada kuhani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wote kuhani Yoyada alipokuwa muzima, Yoasi alitenda mema mbele ya Yawe.