2 Chronicles 24:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwishoni mwa mwaka, jeshi la Washamu lilishambulia Yerusalemu na Yuda. Waliwaua wakuu wote, wakateka nyara nyingi na kumpelekea mfalme wa Damasko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwishoni mwa ule mwaka, jeshi la Waaramu likaja dhidi ya Yoashi, likavamia Yuda na Yerusalemu na kuwaua viongozi wote wa watu. Wakapeleka nyara zao zote kwa mfalme wao huko Dameski.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa mwisho wa mwaka, wakakwea juu yake jeshi la Washami; wakafika Yuda na Yerusalemu, wakawaangamiza wakuu wa watu wote miongoni mwa watu, wakamletea mfalme wa Dameski nyara zao zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwishoni mwa mwaka, jeshi la Washamu lilishambulia Yerusalemu na Yuda. Waliwaua wakuu wote, wakateka nyara nyingi na kumpelekea mfalme wa Damasko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwishoni mwa ule mwaka, jeshi la Waaramu likaja dhidi ya Yoashi, likavamia Yuda na Yerusalemu na kuwaua viongozi wote wa watu. Wakapeleka nyara zao zote kwa mfalme wao huko Dameski.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwishoni mwa ule mwaka, jeshi la Waaramu likaja dhidi ya Yoashi, likavamia Yuda na Yerusalemu na kuwaua viongozi wote wa watu. Wakapeleka nyara zao zote kwa mfalme wao huko Dameski.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa mwisho wa mwaka, wakakwea juu yake jeshi la Washami; wakafika Yuda na Yerusalemu, wakawaangamiza wakuu wa watu wote miongoni mwa watu, wakamletea mfalme wa Dameski nyara zao zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwishoni mwa mwaka, jeshi la Washamu lilishambulia Yerusalemu na Yuda. Waliwaua wakuu wote, wakateka nyara nyingi na kumpelekea mfalme wa Damasko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, mwaka ulipokwisha, vikapanda vikosi vya Washami, kupigana naye, wakaja kuiingia nchi ya Yuda, hata Yerusalemu, wakawaangamiza wakuu wote wa watu wote pia, nayo mateka yao wakayatuma kwa mfalme wa Damasko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa mwisho wa mwaka, wakakwea juu yake jeshi la Washami; wakafika Yuda na Yerusalemu, wakawaangamiza wakuu wa watu wote miongoni mwa watu, wakamletea mfalme wa Dameski nyara zao zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mwisho wa mwaka, jeshi la Wasuria lilishambulia Yerusalema na Yuda. Wakawaua wakubwa wote, wakanyanganya vitu vingi na kuvituma kwa mufalme wa Damasiki.