2 Chronicles 24:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu waliomfanyia njama walikuwa Zabadi mwana wa mwanamke Mwamoni jina lake Shimeathi, na Yehozabadi mwana wa mwanamke Mmoabu jina lake Shimrithi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale waliopanga njama dhidi yake walikuwa Zabadi mwana wa Shimeathi mwanamke Mwamoni, na Yehozabadi mwana wa Shimrithi mwanamke Mmoabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hawa ndio waliomfanyia fitina, Zabadi mwana wa Shimeathi mwanamke Mwamoni, na Yehozabadi mwana wa Shimrithi mwanamke Mmoabi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu waliomfanyia njama walikuwa Zabadi mwana wa mwanamke Mwamoni jina lake Shimeathi, na Yehozabadi mwana wa mwanamke Mmoabu jina lake Shimrithi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale waliofanya hila mbaya dhidi yake walikuwa Zabadi, mwana wa Shimeathi mwanamke Mwamoni, Yehozabadi, mwana wa Shimrithi mwanamke Mmoabi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale waliofanya hila mbaya dhidi yake walikuwa Zabadi, mwana wa Shimeathi mwanamke Mwamoni, Yehozabadi, mwana wa Shimrithi mwanamke Mmoabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hawa ndio waliomfanyia fitina, Zabadi mwana wa Shimeathi mwanamke Mwamoni, na Yehozabadi mwana wa Shimrithi mwanamke Mmoabi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu waliomfanyia njama walikuwa Zabadi mwana wa mwanamke Mwamoni jina lake Shimeathi, na Yehozabadi mwana wa mwanamke Mmoabu jina lake Shimrithi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliomlia njama ndio hawa: Zabadi, mwana wa Simati aliyekuwa mwanamke wa Kiamoni, na Yozabadi, mwana wa Simuriti aliyekuwa mwanamke wa Kimoabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hawa ndio waliomfanyia fitina, Zabadi mwana wa Shimeathi mwanamke Mwamoni, na Yehozabadi mwana wa Shimrithi mwanamke Mmoabi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu waliomufanyia shauri baya walikuwa ni Zabadi mwana wa mwanamuke Mwamoni jina lake Simeati, na Yozabadi mwana wa mwanamuke Mumoabu jina lake Simuriti.