2 Chronicles 24:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoyada akamwoza wake wawili, nao wakamzalia watoto wa kiume na wa kike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehoyada akamwoza wake wawili, akazaa watoto wa kiume na wa kike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoyada akamwoza wake wawili, naye akazaa wana na binti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoyada akamwoza wake wawili, nao wakamzalia watoto wa kiume na wa kike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoyada akamwoza wake wawili, akazaa watoto wa kiume na wa kike.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehoyada akamwoza wake wawili, akazaa watoto wa kiume na wa kike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoyada akamwoza wake wawili, naye akazaa watoto wa kiume na wa kike.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoyada akamwoza wake wawili, nao wakamzalia watoto wa kiume na wa kike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoyada akamwoza wake wawili, akazaa wana wa kiume na wa kike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoyada akamwoza wake wawili, naye akazaa wana na binti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoyada akamwoea wake wawili, nao wakamuzalia wana na wabinti.