2 Chronicles 24:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye Yoashi aliamua kurekebisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya muda, Yoashi akaamua kukarabati Hekalu la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa baada ya haya, Yoashi alikuwa na nia ya kuitengeneza nyumba ya Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye Yoashi aliamua kurekebisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya muda, Yoashi akaamua kukarabati Hekalu la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya muda, Yoashi akaamua kukarabati Hekalu la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa baada ya haya, Yoashi alikuwa na nia ya kuitengeneza nyumba ya Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye Yoashi aliamua kurekebisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa baada ya hayo, Yoasi akajipa moyo wa kuirudishia Nyumba ya Bwana upya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa baada ya haya, Yoashi alikuwa na nia ya kuitengeneza nyumba ya Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya hayo Yoasi akaamua kujenga nyumba ya Yawe.