2 Chronicles 24:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Athalia yule mwanamke mwovu na wafuasi wake walivunja nyumba ya Mungu na kuingia ndani; na vyombo vitakatifu vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu walivitumia katika ibada za Mabaali.)
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa wana wa yule mwanamke mwovu Athalia, walikuwa wamevunja na kuingia katika Hekalu la Mungu, nao wakawa wamevitumia hata vile vitu vilivyowekwa wakfu kwa Mwenyezi Mungu kwa mabaali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa wana wa Athalia, yule mwanamke mwovu, walikuwa wameibomoa nyumba ya Mungu; na vitakatifu vyote vya nyumba ya Bwana wamewapatia mabaali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Athalia yule mwanamke mwovu na wafuasi wake walivunja nyumba ya Mungu na kuingia ndani; na vyombo vitakatifu vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu walivitumia katika ibada za Mabaali.)
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa wana wa yule mwanamke mwovu Athalia, walikuwa wamevunja na kuingia katika Hekalu la Mungu, nao wakawa wamevitumia hata vile vitu vilivyowekwa wakfu kwa BWANA kwa mabaali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa wana wa yule mwanamke mwovu Athalia, walikuwa wamevunja na kuingia katika Hekalu la Mungu, nao wakawa wamevitumia hata vile vitu vilivyowekwa wakfu kwa bwana kwa mabaali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa wana wa Athalia, yule mwanamke mwovu, walikuwa wameibomoa nyumba ya Mungu; na vitakatifu vyote vya nyumba ya BWANA wamewapatia Mabaali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Athalia yule mwanamke mwovu na wafuasi wake walivunja nyumba ya Mungu na kuingia ndani; na vyombo vitakatifu vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu walivitumia katika ibada za Mabaali.)
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wana wa Atalia, yule mwanamke aliyefanya maovu tu, wameichakaza Nyumba ya Mungu, navyo vyombo vitakatifu vyote vya Nyumba ya Bwana wakavifanya kuwa vya Mabaali,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa wana wa Athalia, yule mwanamke mwovu, walikuwa wameibomoa nyumba ya Mungu; na vitakatifu vyote vya nyumba ya BWANA wamewapatia mabaali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu wana wa Atalia, yule mwanamuke mwovu walivunja nyumba ya Mungu na kuingia ndani; vilevile vyombo vitakatifu vya nyumba ya Yawe walivitumia katika ibada za Mabali.