2 Chronicles 24:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha tangazo likatolewa kote katika Yuda na Yerusalemu, kwamba watu wote wamletee Mwenyezi-Mungu kodi ambayo Mose mtumishi wa Mungu, aliwaamuru Waisraeli walipokuwa jangwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tangazo likatolewa katika Yuda na Yerusalemu, kwamba inapasa wamletee Mwenyezi Mungu kodi ambayo Musa, mtumishi wa Mwenyezi Mungu, alikuwa amewaagiza Israeli huko jangwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakapiga mbiu katika Yuda na Yerusalemu, kumletea Bwana kodi aliyoiweka Musa mtumishi wa Mungu, juu ya Israeli jangwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha tangazo likatolewa kote katika Yuda na Yerusalemu, kwamba watu wote wamletee Mwenyezi-Mungu kodi ambayo Mose mtumishi wa Mungu, aliwaamuru Waisraeli walipokuwa jangwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tangazo likatolewa katika Yuda na Yerusalemu kwamba inapasa wamletee BWANA kodi ile ambayo Mose, mtumishi wa BWANA alikuwa amewaagiza Israeli huko jangwani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tangazo likatolewa katika Yuda na Yerusalemu kwamba inapasa wamletee bwana kodi ile ambayo Musa, mtumishi wa bwana alikuwa amewaagiza Israeli huko jangwani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakapiga mbiu katika Yuda na Yerusalemu, kumletea BWANA kodi aliyoiweka Musa mtumishi wa Mungu, juu ya Israeli jangwani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha tangazo likatolewa kote katika Yuda na Yerusalemu, kwamba watu wote wamletee Mwenyezi-Mungu kodi ambayo Mose mtumishi wa Mungu, aliwaamuru Waisraeli walipokuwa jangwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakapiga mbiu katika nchi ya Yuda namo Yerusalemu, watu wamletee Bwana machango, Mose, mtumishi wa Mungu, aliyoyaagiza kule nyikani, Waisiraeli wayatoe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakapiga mbiu katika Yuda na Yerusalemu, kumletea BWANA kodi aliyoiweka Musa mtumishi wa Mungu, juu ya Israeli jangwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha tangazo likatolewa kote katika Yuda na Yerusalema, kwamba watu wote wamuletee Yawe kodi ambayo Musa mutumishi wa Mungu, aliwaamuru Waisraeli walipokuwa katika jangwa.