2 Chronicles 25:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amazia alijipa moyo akaliongoza jeshi lake hadi Bonde la Chumvi. Hapo akapigana na kuwaua watu 10,000 wa Seiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Amazia akajitia nguvu na kuliongoza jeshi lake hadi Bonde la Chumvi, ambako aliwaua watu elfu kumi wa Seiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amazia akapiga moyo konde, akawaongoza watu wake, akaenda mpaka Bonde la Chumvi, akawapiga katika wana wa Seiri watu elfu kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amazia alijipa moyo akaliongoza jeshi lake hadi Bonde la Chumvi. Hapo akapigana na kuwaua watu 10,000 wa Seiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Amazia akajitia nguvu na kuliongoza jeshi lake kwenye Bonde la Chumvi, ambako aliua watu 10,000 wa Seiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Amazia akajitia nguvu na kuliongoza jeshi lake kwenye Bonde la Chumvi, ambako aliua watu 10,000 wa Seiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amazia akapiga moyo konde, akawaongoza watu wake, akaenda mpaka Bonde la Chumvi, akawapiga katika wana wa Seiri watu elfu kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amazia alijipa moyo akaliongoza jeshi lake hadi Bonde la Chumvi. Hapo akapigana na kuwaua watu 10,000 wa Seiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Amasia akajishupaza, akawaongoza watu wake kwenda katika Bonde la Chumvi, akawapiga wana wa Seiri 10000,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amazia akapiga moyo konde, akawaongoza watu wake, akaenda mpaka Bonde la Chumvi, akawapiga katika wana wa Seiri watu elfu kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amazia akajipa moyo akaongoza jeshi lake mpaka kwenye Bonde la Chumvi. Hapo akapigana na kuwaua watu elfu kumi wa Seiri.