2 Chronicles 25:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu ingawa hakuyatenda kwa moyo mnyofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatenda yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, lakini sio kwa moyo wake wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya yaliyo ya adili machoni pa Bwana, lakini si kwa moyo mkamilifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu ingawa hakuyatenda kwa moyo mnyofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatenda yaliyo mema machoni pa BWANA, lakini si kwa moyo wake wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatenda yaliyo mema machoni pa bwana, lakini sio kwa moyo wake wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, lakini si kwa moyo mkamilifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu ingawa hakuyatenda kwa moyo mnyofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana, lakini hakuyafanya kwa moyo wote mzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, lakini si kwa moyo mkamilifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitenda kwa usawa mbele ya Yawe ingawa hakutenda kwa moyo mukamilifu.