2 Chronicles 25:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Yuda walishindwa na watu wa Israeli na kila mmoja alirudi nyumbani kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yuda ikashindwa na Israeli na kila mtu akakimbilia nyumbani mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yuda wakashindwa mbele ya Israeli; wakakimbia kila mtu hemani kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Yuda walishindwa na watu wa Israeli na kila mmoja alirudi nyumbani kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yuda akashindwa na Israeli na kila mtu akakimbilia nyumbani kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yuda ikashindwa na Israeli na kila mtu akakimbilia nyumbani kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yuda wakashindwa na Israeli; wakakimbia kila mtu hemani kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Yuda walishindwa na watu wa Israeli na kila mmoja alirudi nyumbani kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayuda wakashindwa na Waisiraeli, wakakimbia kila mtu hemani kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yuda wakashindwa mbele ya Israeli; wakakimbia kila mtu hemani kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Yuda wakashindwa na watu wa Israeli na kila mumoja akarudia kwake.