2 Chronicles 25:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maiti yake ililetwa juu ya farasi, na kuzikwa kwenye makaburi ya kifalme katika mji wa Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akarudishwa kwa farasi, akazikwa na baba zake katika Mji wa Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamleta juu ya farasi; wakamzika pamoja na babaze katika mji wa Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maiti yake ililetwa juu ya farasi, na kuzikwa kwenye makaburi ya kifalme katika mji wa Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akarudishwa kwa farasi nao wakamzika pamoja na baba zake katika Mji wa Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akarudishwa kwa farasi na akazikwa pamoja na baba zake katika Mji wa Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamleta juu ya farasi; wakamzika pamoja na babaze katika mji wa Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maiti yake ililetwa juu ya farasi, na kuzikwa kwenye makaburi ya kifalme katika mji wa Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamchukua kwa farasi, wakamzika kwa baba zake mjini mwa Yuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamleta juu ya farasi; wakamzika pamoja na babaze katika mji wa Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maiti yake ikaletwa juu ya farasi, na kuzikwa kwenye makaburi ya kifalme katika muji wa Daudi.