2 Chronicles 25:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara tu Amazia alipojiimarisha mamlakani aliwaua watumishi waliomuua mfalme baba yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya ufalme kuimarika mkononi mwake, aliwaua maafisa waliomuua mfalme baba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ikawa, alipopata nguvu katika ufalme wake, akawaua watumishi wale waliomwua mfalme babaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara tu Amazia alipojiimarisha mamlakani aliwaua watumishi waliomuua mfalme baba yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya ufalme wote kuimarika katika milki yake, aliwaua maafisa waliomwua mfalme baba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya ufalme kuimarika mikononi mwake, aliwaua maafisa waliomuua mfalme baba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ikawa, alipojiimarisha katika ufalme wake, akawaua watumishi wale waliomwua mfalme babaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara tu Amazia alipojiimarisha mamlakani aliwaua watumishi waliomuua mfalme baba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, alipoushupaza ufalme wake, akawaua watumishi wake waliomwua baba yake mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ikawa, alipopata nguvu katika ufalme wake, akawaua watumishi wale waliomwua mfalme babaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara tu Amazia alipojiimarisha katika mamlaka akawaua watumishi waliomwua mufalme baba yake.