2 Chronicles 25:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mtu wa Mungu alimwendea, akamwambia, “Ee mfalme, usiende vitani pamoja na hawa askari wa Israeli, maana Mwenyezi-Mungu hayuko pamoja na watu wa Israeli. Hayuko pamoja na hawa Waefraimu wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mtu wa Mungu akamjia na kumwambia, “Ee mfalme, haya majeshi kutoka Israeli kamwe usiyaruhusu yaende pamoja na wewe, kwa kuwa Mwenyezi Mungu hayuko pamoja na Israeli, wala hayupo pamoja na yeyote wa watu wa Efraimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mtu wa Mungu akamjia, akasema, Ee mfalme, usiwaache jeshi la Israeli waende nawe; kwa kuwa Bwana hayupo pamoja na Israeli, yaani, wana wote wa Efraimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mtu wa Mungu alimwendea, akamwambia, “Ee mfalme, usiende vitani pamoja na hawa askari wa Israeli, maana Mwenyezi-Mungu hayuko pamoja na watu wa Israeli. Hayuko pamoja na hawa Waefraimu wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mtu wa Mungu akamjia na kumwambia, “Ee mfalme, haya majeshi kutoka Israeli kamwe usiyaruhusu yaende pamoja na wewe kwa kuwa BWANA hayuko pamoja na Israeli, wala hayupo pamoja na ye yote wa watu wa Efraimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mtu wa Mungu akamjia na kumwambia, “Ee mfalme, haya majeshi kutoka Israeli kamwe usiyaruhusu yaende pamoja na wewe kwa kuwa bwana hayuko pamoja na Israeli, wala hayupo pamoja na yeyote wa watu wa Efraimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mtu wa Mungu akamjia, akasema, Ee mfalme, usiwaruhusu jeshi la Israeli waende nawe; kwa kuwa BWANA hayupo pamoja na Israeli, yaani, wana wote wa Efraimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mtu wa Mungu alimwendea, akamwambia, “Ee mfalme, usiende vitani pamoja na hawa askari wa Israeli, maana Mwenyezi-Mungu hayuko pamoja na watu wa Israeli. Hayuko pamoja na hawa Waefraimu wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mtu wa Mungu alipomjia, akamwambia: Mfalme, vikosi vya Waisiraeli visiende na wewe! Kwani Bwana hawi nao Waisiraeli, maana wote ni wana wa Efuraimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mtu wa Mungu akamjia, akasema, Ee mfalme, usiwaache jeshi la Israeli waende nawe; kwa kuwa BWANA hayupo pamoja na Israeli, yaani, wana wote wa Efraimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mutu wa Mungu akamwendea na kumwambia: “Ee mufalme, usiende kwenye vita pamoja na hawa waaskari wa Israeli, maana Yawe hayuko pamoja na watu wa Israeli. Hayuko pamoja na hawa Waefuraimu wote.