2 Chronicles 26:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jumla, viongozi wote wa majeshi walikuwa 2,600.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Idadi yote ya viongozi wa jamaa waliowaongoza wapiganaji walikuwa elfu mbili na mia sita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hesabu yote ya wakuu wa nyumba za mababa, watu mashujaa, ilikuwa elfu mbili na mia sita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jumla, viongozi wote wa majeshi walikuwa 2,600.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Idadi yote ya viongozi wa jamaa waliowaongoza hawa wapiganaji walikuwa 2,600.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Idadi yote ya viongozi wa jamaa waliowaongoza hawa wapiganaji walikuwa 2,600.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hesabu yote ya wakuu wa nyumba za mababa, watu mashujaa, ilikuwa elfu mbili na mia sita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jumla, viongozi wote wa majeshi walikuwa 2,600.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hesabu yote ya wakuu wa milango ya mafundi wa vita ilikuwa 2600.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hesabu yote ya wakuu wa nyumba za mababa, watu mashujaa, ilikuwa elfu mbili na mia sita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa jumla, viongozi wote wa majeshi walikuwa elfu mbili na mia sita.