2 Chronicles 26:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chini yao, kulikuwa na jeshi la askari 307,500, wenye uwezo mkubwa wa kukabiliana na adui yeyote wa mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chini ya uongozi wao kulikuwa na jeshi la watu elfu mia tatu na saba na mia tano waliofundishwa kwa ajili ya vita, jeshi lenye nguvu la kumsaidia mfalme dhidi ya adui zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na chini ya mkono wao kulikuwa na jeshi la askari, mia tatu na saba elfu, na mia tano, ambao walipigana vita kwa nguvu nyingi, kumsaidia mfalme juu ya adui.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chini yao, kulikuwa na jeshi la askari 307,500, wenye uwezo mkubwa wa kukabiliana na adui yeyote wa mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chini ya uongozi wao kulikuwa na jeshi la askari 307,500 watu waliofundishwa kwa ajili ya vita, jeshi lenye nguvu la kumsaidia mfalme dhidi ya adui zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chini ya uongozi wao kulikuwa na jeshi la askari 307,500 watu waliofundishwa kwa ajili ya vita, jeshi lenye nguvu la kumsaidia mfalme dhidi ya adui zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na chini ya mkono wao kulikuwa na jeshi la askari, elfu mia tatu na saba, na mia tano, ambao walipigana vita kwa nguvu nyingi, kumsaidia mfalme juu ya adui.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chini yao, kulikuwa na jeshi la askari 307,500, wenye uwezo mkubwa wa kukabiliana na adui yeyote wa mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mikononi mwao vilikuwa vikosi vya askari, watu 307500 waliopiga vita kwa nguvu nyingi, wamsaidie mfalme kushinda adui.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na chini ya mkono wao kulikuwa na jeshi la askari, mia tatu na saba elfu, na mia tano, ambao walipigana vita kwa nguvu nyingi, kumsaidia mfalme juu ya adui.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chini yao, kulikuwa jeshi la waaskari elfu mia tatu na saba na mia tano, wenye uwezo mukubwa wa kupigana na waadui wa mufalme.