2 Chronicles 26:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uzia aliwapa askari hao ngao, mikuki, kofia za chuma, deraya, pinde na mawe kwa ajili ya kupiga kwa kombeo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uzia akalipatia jeshi lote ngao, mikuki, chapeo, dirii, pinde na mawe ya kombeo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uzia akawafanyizia jeshi lote ngao na mikuki, na chapeo, na deraya za madini, na nyuta, na mawe ya kupiga kwa teo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uzia aliwapa askari hao ngao, mikuki, kofia za chuma, deraya, pinde na mawe kwa ajili ya kupiga kwa kombeo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uzia akalipatia jeshi lote ngao, mikuki, chapeo, deraya, pinde na mawe ya kombeo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uzia akalipatia jeshi lote ngao, mikuki, chapeo, dirii, pinde na mawe ya kombeo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uzia akawapatia jeshi lote ngao na mikuki, na chapeo, na deraya za madini, na nyuta, na mawe ya kupiga kwa teo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uzia aliwapa askari hao ngao, mikuki, kofia za chuma, deraya, pinde na mawe kwa ajili ya kupiga kwa kombeo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo vikosi vyote Uzia akavipatia ngao na mikuki na kofia ngumu na shati za vyuma na pindi na mawe ya makombeo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uzia akawafanyizia jeshi lote ngao na mikuki, na chapeo, na deraya za madini, na nyuta, na mawe ya kupiga kwa teo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uzia aliwapa waaskari wale ngao, mikuki, kofia za chuma, nguo za chuma, pinde na mawe kwa ajili ya kupiga mujeledi.