2 Chronicles 26:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kuhani Azaria, pamoja na makuhani wengine mashujaa themanini, wakamfuata mfalme
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Azaria kuhani akiwa pamoja na makuhani wengine themanini wa Mwenyezi Mungu wenye ujasiri wakamfuata ndani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Azaria kuhani akaingia nyuma yake, na pamoja naye makuhani themanini wa Bwana, mashujaa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kuhani Azaria, pamoja na makuhani wengine mashujaa themanini, wakamfuata mfalme
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Azaria kuhani akiwa pamoja na makuhani wengine themanini wa BWANA wenye ujasiri wakamfuata huko ndani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Azaria kuhani akiwa pamoja na makuhani wengine themanini wa bwana wenye ujasiri wakamfuata huko ndani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Azaria kuhani akaingia nyuma yake, na pamoja naye makuhani themanini wa BWANA, mashujaa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kuhani Azaria, pamoja na makuhani wengine mashujaa themanini, wakamfuata mfalme
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikaji Azaria akamfuata pamoja na watambikaji wa Bwana 80 waliokuwa wenye nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Azaria kuhani akaingia nyuma yake, na pamoja naye makuhani themanini wa BWANA, mashujaa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kuhani Azaria, pamoja na makuhani wengine mashujaa makumi nane, wakamufuata mufalme