2 Chronicles 26:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu baada ya kifo cha baba yake aliujenga upya mji wa Elothi na kuurudisha kwa Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndiye aliijenga upya Elathi na kuirudisha kwa Yuda baada ya Amazia kulala na baba zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo akajenga Elathi, akaurudisha kwa Yuda, baada ya kulala mfalme pamoja na babaze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu baada ya kifo cha baba yake aliujenga upya mji wa Elothi na kuurudisha kwa Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye ndiye aliyejenga upya Elathi kuirudisha kwa Yuda baada ya Amazia kulala pamoja na baba zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndiye alijenga upya Elathi kuirudisha kwa Yuda baada ya Amazia kulala pamoja na baba zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo akajenga Elathi, akaurudisha kwa Yuda, baada ya kulala mfalme pamoja na babaze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu baada ya kifo cha baba yake aliujenga upya mji wa Elothi na kuurudisha kwa Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye akaujenga Eloti, akaurudisha kwao Wayuda, mfalme alipokuwa amelala na baba zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo akajenga Elathi, akaurudisha kwa Yuda, baada ya kulala mfalme pamoja na babaze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu nyuma ya kifo cha baba yake akajenga upya muji wa Eloti na kuurudisha kwa inchi ya Yuda.