2 Chronicles 26:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Azaria, kuhani mkuu, na wale makuhani wengine, walimtazama, kisha wakaharakisha kumtoa nje; hata yeye mwenyewe akafanya haraka kutoka, kwa maana Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwadhibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Azaria kuhani mkuu pamoja na makuhani wengine wote walipomtazama wakaona kwamba alikuwa na ukoma pajini lake, wakaharakisha kumtoa nje. Naam, hata yeye mwenyewe alitamani kuondoka kwa sababu Mwenyezi Mungu alikuwa amempiga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Azaria kuhani mkuu na makuhani wote wakamtazama, na angalia, alikuwa na ukoma pajini mwa uso, wakamtoa humo upesi; hata na yeye mwenyewe akafanya haraka kutoka, kwa sababu Bwana amempiga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Azaria, kuhani mkuu, na wale makuhani wengine, walimtazama, kisha wakaharakisha kumtoa nje; hata yeye mwenyewe akafanya haraka kutoka, kwa maana Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwadhibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Azaria Kuhani Mkuu pamoja na makuhani wengine wote walipomtazama wakaona kwamba alikuwa na ukoma penye kipaji chake cha uso wakaharakisha kumtoa nje. Naam, hata yeye mwenyewe alikuwa anatamani kuondoka kwa sababu BWANA alikuwa amempiga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Azaria kuhani mkuu pamoja na makuhani wengine wote walipomtazama wakaona kwamba alikuwa na ukoma penye kipaji chake cha uso wakaharakisha kumtoa nje. Naam, hata yeye mwenyewe alikuwa anatamani kuondoka kwa sababu bwana alikuwa amempiga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Azaria kuhani mkuu na makuhani wote wakamtazama, na angalia, alikuwa na ukoma pajini mwa uso, wakamtoa humo upesi; hata na yeye mwenyewe akafanya haraka kutoka, kwa sababu BWANA amempiga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Azaria, kuhani mkuu, na wale makuhani wengine, walimtazama, kisha wakaharakisha kumtoa nje; hata yeye mwenyewe akafanya haraka kutoka, kwa maana Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwadhibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikaji mkuu Azaria na watambikaji wote walipomgeukia, mara wakamwona kuwa na ukoma pajini; ndipo, walipomfukuza huko upesiupesi, naye akajihimiza kutoka, kwa kuwa Bwana amempiga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Azaria kuhani mkuu na makuhani wote wakamtazama, na angalia, alikuwa na ukoma pajini mwa uso, wakamtoa humo upesi; hata na yeye mwenyewe akafanya haraka kutoka, kwa sababu BWANA amempiga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Azaria, Kuhani Mukubwa, na wale makuhani wengine, wakamwangalia, kisha wakaharakisha kumutoa inje; hata yeye mwenyewe akafanya haraka kutoka, kwa maana Yawe alikuwa amemwazibu.