2 Chronicles 26:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama baba yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatenda yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, vile Amazia baba yake alivyofanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya yaliyo ya adili machoni pa Bwana, sawasawa na yote aliyoyafanya Amazia babaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama baba yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA sawasawa na Amazia baba yake alivyokuwa amefanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatenda yaliyo mema machoni pa Bwana, kama Amazia baba yake alivyofanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, sawasawa na yote aliyoyafanya Amazia babaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama baba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana, kama yote, baba yake Amasia aliyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, sawasawa na yote aliyoyafanya Amazia babaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitenda kwa usawa mbele ya Yawe, kama vile baba yake alivyotenda.