2 Chronicles 26:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimtumikia Mwenyezi-Mungu kwa uaminifu wakati wa kuishi kwa Zekaria, aliyemfundisha kumtii Mungu. Kadiri alivyomtafuta Mungu, Mungu alimfanikisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamtafuta Mungu katika siku za Zekaria, aliyemwelekeza kumcha Mungu. Wakati wote alipomtafuta Mwenyezi Mungu, Mungu alimfanikisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajitia nia amtafute Mungu katika siku za Zekaria, aliyekuwa na fahamu katika maono ya Mungu; na muda alipomtafuta Bwana, Mungu alimfanikisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimtumikia Mwenyezi-Mungu kwa uaminifu wakati wa kuishi kwa Zekaria, aliyemfundisha kumtii Mungu. Kadiri alivyomtafuta Mungu, Mungu alimfanikisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamtafuta Mungu katika siku za Zekaria, aliyemwelekeza kumcha Mungu. Wakati wote alipomtafuta BWANA, Mungu alimfanikisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamtafuta Mungu katika siku za Zekaria, aliyemwelekeza kumcha Mungu. Wakati wote alipomtafuta bwana, Mungu alimfanikisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajitia nia amtafute Mungu katika siku za Zekaria, aliyekuwa na fahamu katika maono ya Mungu; na muda alipomtafuta BWANA, Mungu alimfanikisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimtumikia Mwenyezi-Mungu kwa uaminifu wakati wa kuishi kwa Zekaria, aliyemfundisha kumtii Mungu. Kadiri alivyomtafuta Mungu, Mungu alimfanikisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawa akimtafuta Mungu siku, alizokuwapo Zakaria aliyemfundisha maana ya kumtazamia Mungu; nazo siku zile, alipomtafuta Bwana, Mungu akayaendesha mambo yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajitia nia amtafute Mungu katika siku za Zekaria, aliyekuwa na fahamu katika maono ya Mungu; na muda alipomtafuta BWANA, Mungu alimfanikisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamutumikia Yawe kwa uaminifu wakati wa kuishi kwa Zakaria, aliyemufundisha kumutii Mungu. Kwa jinsi alivyomutafuta Mungu, Mungu alimufanikisha.