2 Chronicles 26:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu alimsaidia kuwashinda Wafilisti, Waarabu waliokaa Gurbaali na Wameuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu akamsaidia dhidi ya Wafilisti na dhidi ya Waarabu walioishi Gur-Baali na dhidi ya Wameuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu akamsaidia juu ya Wafilisti, na juu ya Waarabu waliokaa Gur-baali, na juu ya Wameuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu alimsaidia kuwashinda Wafilisti, Waarabu waliokaa Gurbaali na Wameuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu akamsaidia dhidi ya Wafilisti na dhidi ya Waarabu walioishi Gur-Baali na dhidi ya Wameuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu akamsaidia dhidi ya Wafilisti na dhidi ya Waarabu walioishi Gur-Baali na dhidi ya Wameuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu akamsaidia juu ya Wafilisti, na juu ya Waarabu waliokaa Gur-baali, na juu ya Wameuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu alimsaidia kuwashinda Wafilisti, Waarabu waliokaa Gurbaali na Wameuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu akamsaidia kuwashinda Wafilisti na Waarabu waliokaa Guri-Baali na Wameuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu akamsaidia juu ya Wafilisti, na juu ya Waarabu waliokaa Gur-baali, na juu ya Wameuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu akamusaidia kuwashinda Wafilistini, Waarabu waliokaa Guribali na Wameuni.