2 Chronicles 26:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena Uzia alijenga minara katika Yerusalemu penye Lango la Pembeni, Lango la Bondeni na Pembeni na kuiimarisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uzia akajenga minara huko Yerusalemu katika Lango la Pembeni, katika Lango la Bondeni na katika pembe, mahali kuta zikutanapo, kisha akaijengea ngome.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Uzia akaujengea Yerusalemu minara, penye lango la pembeni, na penye lango la bonde, na ugeukapo ukuta, akaitia nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena Uzia alijenga minara katika Yerusalemu penye Lango la Pembeni, Lango la Bondeni na Pembeni na kuiimarisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uzia akajenga minara huko Yerusalemu katika Lango la Pembeni, katika Lango la Bondeni na katika pembe, mahali kuta zikutanapo, kisha akaijengea ngome.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uzia akajenga minara huko Yerusalemu katika Lango la Pembeni, katika Lango la Bondeni na katika pembe, mahali kuta zikutanapo, kisha akaijengea ngome.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Uzia akaujengea Yerusalemu minara, penye Lango la Pembeni, na penye Lango la Bondeni, na ugeukapo ukuta, akaitia nguvu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena Uzia alijenga minara katika Yerusalemu penye Lango la Pembeni, Lango la Bondeni na Pembeni na kuiimarisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Uzia akajenga minara huko Yerusalemu penye lango la pembeni napo penye lango la bondeni napo, boma lilipojipinda, akaitia nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Uzia akaujengea Yerusalemu minara, penye lango la pembeni, na penye lango la bonde, na ugeukapo ukuta, akaitia nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena Uzia akajenga minara ya kukinga muji kwenye milango tatu ya Yerusalema na kuiimarisha.