2 Chronicles 27:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, alitawala kwa muda wa miaka kumi na sita huko Yerusalemu. Mama yake aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na tano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na sita. Mama yake aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka kumi na sita; na jina la mamaye aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, alitawala kwa muda wa miaka kumi na sita huko Yerusalemu. Mama yake aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na sita. Mama yake aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na sita. Mama yake aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka kumi na sita; na jina la mamaye aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, alitawala kwa muda wa miaka kumi na sita huko Yerusalemu. Mama yake aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yotamu alikuwa mwenye miaka 25 alipoupata ufalme, akawa mfalme miaka 16 mle Yerusalemu. Jina la mama yake ni Yerusa, binti Sadoki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka kumi na sita; na jina la mamaye aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yotamu alikuwa na umri wa miaka makumi mbili na mitano alipoanza kutawala, alitawala kwa muda wa miaka kumi na sita kule Yerusalema. Mama yake aliitwa Yerusa binti ya Sadoki.