2 Chronicles 27:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yothamu alijenga Lango la Kaskazini la nyumba ya Mwenyezi-Mungu na kushughulika sana na ujenzi wa ukuta sehemu ya Ofeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yothamu akajenga upya Lango la Juu la Hekalu la Mwenyezi Mungu na kufanya kazi kubwa kwenye ukuta katika kilima cha Ofeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiye aliyelijenga lango la juu la nyumba ya Bwana, na juu ya ukuta wa Ofeli akajenga sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yothamu alijenga Lango la Kaskazini la nyumba ya Mwenyezi-Mungu na kushughulika sana na ujenzi wa ukuta sehemu ya Ofeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yothamu akajenga upya Lango la Juu la Hekalu la BWANA na kufanya kazi kubwa kwenye ukuta katika kilima cha Ofeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yothamu akajenga upya Lango la Juu la Hekalu la bwana na kufanya kazi kubwa kwenye ukuta katika kilima cha Ofeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiye aliyelijenga lango la juu la nyumba ya BWANA, na juu ya ukuta wa Ofeli akajenga sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yothamu alijenga Lango la Kaskazini la nyumba ya Mwenyezi-Mungu na kushughulika sana na ujenzi wa ukuta sehemu ya Ofeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye aliyelijenga lango la juu la Nyumba ya Bwana, hata kuta za Ofeli akazijenga vema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiye aliyelijenga lango la juu la nyumba ya BWANA, na juu ya ukuta wa Ofeli akajenga sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yotamu alijenga mulango wa kaskazini wa nyumba ya Yawe na kushugulika sana na ujenzi wa ukuta sehemu ya Ofeli.