2 Chronicles 27:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alijenga miji kwenye nchi ya milima ya Yuda, na kwenye misitu, akajenga ngome na minara katika milima yenye misitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajenga miji katika nchi ya vilima ya Yuda, pamoja na ngome na minara mwituni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena akajenga miji katika milima ya Yuda, na mwituni akajenga ngome na minara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alijenga miji kwenye nchi ya milima ya Yuda, na kwenye misitu, akajenga ngome na minara katika milima yenye misitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajenga miji katika vilima vya Yuda pamoja na ngome na minara mwituni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajenga miji katika vilima vya Yuda pamoja na ngome na minara mwituni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena akajenga miji katika milima ya Yuda, na mwituni akajenga ngome na minara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alijenga miji kwenye nchi ya milima ya Yuda, na kwenye misitu, akajenga ngome na minara katika milima yenye misitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata milimani katika nchi ya Yuda akajenga miji, nako miituni akajenga ngome na minara.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena akajenga miji katika milima ya Yuda, na mwituni akajenga ngome na minara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alijenga miji kwenye inchi ya milima ya Yuda, na kwenye pori, akajenga makimbilio na minara katika milima yenye pori.