2 Chronicles 27:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Yothamu aliendelea kuwa mwenye nguvu, kwa sababu aliishi kwa kumtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yothamu akaendelea kuwa na nguvu kwa sababu alienenda kwa ukamilifu mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yothamu akawa na nguvu, kwa kuwa alizitengeneza njia zake mbele za Bwana, Mungu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Yothamu aliendelea kuwa mwenye nguvu, kwa sababu aliishi kwa kumtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yothamu akaendelea kuwa na nguvu kwa sababu alienenda kwa ukamilifu mbele za BWANA Mungu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yothamu akaendelea kuwa na nguvu kwa sababu alienenda kwa ukamilifu mbele za bwana Mwenyezi Mungu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yothamu akawa na nguvu, kwa kuwa alizitengeneza njia zake mbele za BWANA, Mungu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Yothamu aliendelea kuwa mwenye nguvu, kwa sababu aliishi kwa kumtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yotamu akendelea kupata nguvu, kwa kuwa njia zake, alizozishika, zilimwelekea Bwana Mungu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yothamu akawa na nguvu, kwa kuwa alizitengeneza njia zake mbele za BWANA, Mungu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Yotamu aliendelea kuwa mwenye nguvu, kwa sababu aliishi kwa kumutii Yawe, Mungu wake.