2 Chronicles 27:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matendo mengine ya Yothamu, vita vyake na maongozi yake, yote yameandikwa katika Kitabu cha Habari za Wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matukio mengine ya utawala wa Yothamu, pamoja na vita vyake vyote na vitu vingine alivyofanya, vimeandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mambo yote ya Yothamu yaliyosalia, na vita vyake vyote, na njia zake, tazama, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matendo mengine ya Yothamu, vita vyake na maongozi yake, yote yameandikwa katika Kitabu cha Habari za Wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matukio mengine ya utawala wa Yothamu, pamoja na vita vyake vyote na vitu vingine alivyofanya, vimeandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matukio mengine ya utawala wa Yothamu, pamoja na vita vyake vyote na vitu vingine alivyofanya, vimeandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mambo yote ya Yothamu yaliyosalia, na vita vyake vyote, na njia zake, tazama, yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matendo mengine ya Yothamu, vita vyake na maongozi yake, yote yameandikwa katika Kitabu cha Habari za Wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo mengine ya Yotamu na vita vyake vyote na njia zake tunaziona, zimeandikwa katika kitabu cha wafalme wa Waisiraeli na wa Wayuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mambo yote ya Yothamu yaliyosalia, na vita vyake vyote, na njia zake, tazama, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matendo mengine ya Yotamu, vita yake na maongozi yake, yote yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Israeli na Yuda.