2 Chronicles 28:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa sikieni yale nisemayo: Warudisheni ndugu zenu na dada zenu mliowateka, maana ghadhabu kali ya Mwenyezi-Mungu iko juu yenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi nisikilizeni! Mkawarudishe mateka mliowachukua kutoka kwa ndugu zenu, kwa kuwa hasira kali ya Mwenyezi Mungu iko juu yenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, nisikieni mimi basi, mwarudishe wafungwa, mliowachukua mateka wa ndugu zenu; kwa maana ghadhabu ya Bwana iliyo kali i juu yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa sikieni yale nisemayo: warudisheni ndugu zenu na dada zenu mliowateka, maana ghadhabu kali ya Mwenyezi-Mungu iko juu yenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi nisikilizeni! Mkawarudishe mateka mliowachukua kutoka kwa ndugu zenu, kwa kuwa hasira kali ya BWANA iko juu yenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi nisikilizeni! Mkawarudishe mateka mliowachukua kutoka kwa ndugu zenu, kwa kuwa hasira kali ya bwana iko juu yenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, nisikieni mimi basi, mwarudishe wafungwa, mliowachukua mateka wa ndugu zenu; kwa maana ghadhabu ya BWANA iliyo kali iko juu yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa sikieni yale nisemayo: Warudisheni ndugu zenu na dada zenu mliowateka, maana ghadhabu kali ya Mwenyezi-Mungu iko juu yenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo nisikieni sasa, mrudishe kwao mateka, mliyoyateka kwa ndugu zenu! Kwani nanyi makali ya Bwana yawakayo moto yanawakalia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, nisikieni mimi basi, mwarudishe wafungwa, mliowachukua mateka wa ndugu zenu; kwa maana ghadhabu ya BWANA iliyo kali i juu yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa sikia yale ninayosema, muwarudishe wandugu zenu na wadada zenu muliowakamata kuwa wafungwa, maana kasirani kali ya Yawe iko juu yenu.”