2 Chronicles 28:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, mfalme Ahazi alituma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru kuomba msaada,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati ule, Mfalme Ahazi akatuma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru kuomba msaada.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati ule mfalme Ahazi akatuma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru ili amsaidie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, mfalme Ahazi alituma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru kuomba msaada,.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati ule, Mfalme Ahazi akatuma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru kuomba msaada.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati ule, Mfalme Ahazi akatuma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru kuomba msaada.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati ule mfalme Ahazi akatuma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru ili amsaidie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, mfalme Ahazi alituma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru kuomba msaada,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zile mfalme Ahazi akatuma kwao wafalme wa Asuri, waje kumsaidia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati ule mfalme Ahazi akatuma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru ili amsaidie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, mufalme Ahazi akatuma wajumbe kwa mufalme wa Asuria kusudi awasaidie