2 Chronicles 28:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa sababu Waedomu walikuwa wamekuja tena, wakaivamia nchi ya Yuda, wakawashinda na kuchukua mateka wengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waedomu walikuwa wamekuja tena na kuwashambulia Yuda na kuchukua mateka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Waedomi walikuwa wamekuja tena, na kuwapiga Yuda, na kuwachukua wafungwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa sababu Waedomu walikuwa wamekuja tena, wakaivamia nchi ya Yuda, wakawashinda na kuchukua mateka wengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waedomu walikuwa wamekuja tena na kuwashambulia Yuda na kuchukua mateka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waedomu walikuwa wamekuja tena na kuwashambulia Yuda na kuchukua mateka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa Waedomi walikuwa wamekuja tena, na kuwapiga Yuda, na kuwachukua wafungwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa sababu Waedomu walikuwa wamekuja tena, wakaivamia nchi ya Yuda, wakawashinda na kuchukua mateka wengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa maana Waedomu walikuja tena, wakawapiga, wakachukua mateka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa Waedomi walikuwa wamekuja tena, na kuwapiga Yuda, na kuwachukua wafungwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa sababu Waedomu walikuwa wamekuja tena, wakashambulia inchi ya Yuda, wakawashinda na kupeleka wafungwa wengi.