2 Chronicles 28:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kufuata mienendo ya wafalme wa Israeli. Isitoshe, alitengeneza hata sanamu za kusubu za Mabaali,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaenenda katika njia za wafalme wa Israeli, na pia akasubu sanamu kwa ajili ya kuabudu Mabaali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali akaziendea njia za wafalme wa Israeli, akawafanyizia mabaali sanamu za kusubu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kufuata mienendo ya wafalme wa Israeli. Isitoshe, alitengeneza hata sanamu za kusubu za Mabaali,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaziendea njia za wafalme wa Israeli na pia akasubu sanamu kwa ajili ya kuabudu Mabaali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaenenda katika njia za wafalme wa Israeli, na pia akasubu sanamu kwa ajili ya kuabudu Mabaali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali akaziendea njia za wafalme wa Israeli, alitengeneza sanamu za mabaali za kusubu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kufuata mienendo ya wafalme wa Israeli. Isitoshe, alitengeneza hata sanamu za kusubu za Mabaali,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila akaendelea kuzishika njia za wafalme wa Waisiraeli, akatengeneza navyo vinyago vya Mabaali vilivyoyeyushwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali akaziendea njia za wafalme wa Israeli, akawafanyizia mabaali sanamu za kusubu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kufuata mienendo ya wafalme wa Israeli. Vilevile, alitengeneza hata sanamu za Mabali za madini yenye kuyeyushwa,