2 Chronicles 28:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahazi alichukua dhahabu kutoka katika nyumba ya Mungu, kutoka ikulu na nyumba za wakuu, akampa mfalme wa Ashuru kama kodi; lakini hili pia halikumsaidia kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahazi akachukua baadhi ya vitu kutoka Hekalu la Mwenyezi Mungu, jumba la kifalme na kutoka kwa wakuu wake na kumpa mfalme wa Ashuru kama ushuru, lakini hilo halikumsaidia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana Ahazi alitwaa sehemu katika nyumba ya Bwana, na katika nyumba ya mfalme, na ya wakuu, akampa mfalme wa Ashuru; asisaidiwe na jambo hilo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahazi alichukua dhahabu kutoka katika nyumba ya Mungu, kutoka ikulu na nyumba za wakuu, akampa mfalme wa Ashuru kama kodi; lakini hili pia halikumsaidia kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ahazi akachukua baadhi ya vitu kutoka katika Hekalu la BWANA, jumba la kifalme na kutoka kwa wakuu wake na kumpa mfalme wa Ashuru kama ushuru, lakini hilo halikumsaidia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahazi akachukua baadhi ya vitu kutoka Hekalu la bwana, jumba la kifalme na kutoka kwa wakuu wake na kumpa mfalme wa Ashuru kama ushuru, lakini hilo halikumsaidia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana Ahazi alitwaa sehemu katika nyumba ya BWANA, na katika nyumba ya mfalme, na ya wakuu, akampa mfalme wa Ashuru; asisaidiwe na jambo hilo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahazi alichukua dhahabu kutoka katika nyumba ya Mungu, kutoka ikulu na nyumba za wakuu, akampa mfalme wa Ashuru kama kodi; lakini hili pia halikumsaidia kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Ahazi alichukua kwa nguvu yaliyokuwamo Nyumbani mwa Bwana namo nyumbani mwa mfalme nazo mali za wakuu, akampa mfalme wa Asuri, lakini hakusaidiwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana Ahazi alitwaa sehemu katika nyumba ya BWANA, na katika nyumba ya mfalme, na ya wakuu, akampa mfalme wa Ashuru; asisaidiwe na jambo hilo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu Ahazi alitwaa zahabu kutoka katika nyumba ya Mungu, nyumba ya kifalme na nyumba za wakubwa, akamupa mufalme wa Asuria kama kodi; lakini jambo hili vilevile halikumusaidia kwa kitu.