2 Chronicles 28:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati alipokuwa taabuni zaidi, mfalme huyu Ahazi alizidi kumwasi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika wakati wake wa mateso Mfalme Ahazi akazidi kukosa uaminifu kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wakati alipofadhaishwa, akazidi kumwasi Bwana, huyo mfalme Ahazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati alipokuwa taabuni zaidi, mfalme huyu Ahazi alizidi kumwasi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika wakati wake wa mateso Mfalme Ahazi akazidi kukosa uaminifu kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika wakati wake wa mateso Mfalme Ahazi akazidi kukosa uaminifu kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wakati alipofadhaishwa, akazidi kumwasi BWANA, huyo mfalme Ahazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati alipokuwa taabuni zaidi, mfalme huyu Ahazi alizidi kumwasi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Papo hapo, aliposongeka, yeye mfalme Ahazi akazidi kumvunjia Bwana maagano,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wakati alipofadhaishwa, akazidi kumwasi BWANA, huyo mfalme Ahazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati alipokuwa katika taabu zaidi, mufalme huyu Ahazi alizidi kumwasi Yawe.