2 Chronicles 28:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na katika kila mji wa Yuda, alitengeneza mahali pa kufukizia ubani miungu mingine. Kwa kutenda hivyo, alimkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika kila mji wa Yuda akajenga mahali pa juu pa kuabudia ili kuitolea miungu mingine sadaka za kuteketezwa na kuchochea hasira ya Mwenyezi Mungu, Mungu wa baba zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika kila mji wa Yuda akafanya mahali pa juu pa kuifukizia miungu mingine uvumba, akamkasirisha Bwana, Mungu wa babaze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na katika kila mji wa Yuda, alitengeneza mahali pa kufukizia ubani miungu mingine. Kwa kutenda hivyo, alimkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika kila mji wa Yuda akajenga mahali pa juu pa kuabudia miungu ili kutolea miungu mingine kafara za kuteketezwa na kuchochea hasira ya BWANA, Mungu wa baba zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika kila mji wa Yuda akajenga mahali pa juu pa kuabudia miungu ili kutolea miungu mingine kafara za kuteketezwa na kuchochea hasira ya bwana, Mungu wa baba zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika kila mji wa Yuda akafanya mahali pa juu pa kuifukizia miungu mingine uvumba, akamkasirisha BWANA, Mungu wa babaze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na katika kila mji wa Yuda, alitengeneza mahali pa kufukizia ubani miungu mingine. Kwa kutenda hivyo, alimkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata kila mji mmoja wa Yuda akautengenezea vilima vya kuvukizia miungu mingine juu yao; ndivyo, alivyomkasirisha Bwana Mungu wa baba zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika kila mji wa Yuda akafanya mahali pa juu pa kuifukizia miungu mingine uvumba, akamkasirisha BWANA, Mungu wa babaze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na katika kila muji wa Yuda, akatengeneza pahali pa kufukizia ubani kwa miungu mingine. Kwa kutenda hivyo, akamukasirikisha Yawe, Mungu wa babu zake.