2 Chronicles 28:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matendo yake mengine na mienendo yake yote, kutoka mwanzo hadi mwisho, yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Yuda na Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matukio mengine ya utawala wake na njia zake nyingine zote, kuanzia mwanzo hadi mwisho, zimeandikwa katika kitabu cha wafalme wa Yuda na Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mambo yake yote yaliyosalia, na njia zake zote, za kwanza na za mwisho, tazama, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Yuda na Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matendo yake mengine na mienendo yake yote, kutoka mwanzo hadi mwisho, yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Yuda na Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matukio mengine ya utawala wake na njia zake nyingine zote, tangu mwanzo hadi mwisho, zimeandikwa katika kitabu cha wafalme wa Yuda na Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matukio mengine ya utawala wake na njia zake nyingine zote, tangu mwanzo hadi mwisho, zimeandikwa katika kitabu cha wafalme wa Yuda na Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mambo yake yote yaliyosalia, na njia zake zote, za kwanza hadi za mwisho, tazama, yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Yuda na Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matendo yake mengine na mienendo yake yote, kutoka mwanzo hadi mwisho, yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Yuda na Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo yake mengine na njia zake zote, za kwanza na za mwisho, tunaziona, zimeandikwa katika kitabu cha wafalme wa Wayuda na wa Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mambo yake yote yaliyosalia, na njia zake zote, za kwanza na za mwisho, tazama, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Yuda na Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matendo yake mengine na mienendo yake yote, kutoka mwanzo mpaka mwisho, yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Yuda na Israeli.