2 Chronicles 28:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitoa tambiko na kufukiza ubani mahali pa kuabudia miungu mingine, vilimani na chini ya kila mti wenye majani mabichi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatoa sadaka na kufukiza uvumba katika mahali pa juu pa kuabudia, juu ya vilima, na chini ya kila mti uliotanda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatoa dhabihu na kufukiza uvumba katika mahali pa juu, na vilimani, na chini ya kila mti wenye majani mabichi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitoa tambiko na kufukiza ubani mahali pa kuabudia miungu mingine, vilimani na chini ya kila mti wenye majani mabichi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatoa sadaka na kufukiza uvumba katika mahali pa juu pa kuabudia miungu, juu ya vilima na chini ya kila mti wenye majani mabichi uliotanda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatoa sadaka na kufukiza uvumba katika mahali pa juu pa kuabudia miungu, juu ya vilima, na chini ya kila mti uliotanda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatoa dhabihu na kufukiza uvumba katika mahali pa juu, na vilimani, na chini ya kila mti wenye majani mabichi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitoa tambiko na kufukiza ubani mahali pa kuabudia miungu mingine, vilimani na chini ya kila mti wenye majani mabichi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatambika na kuvukiza vilimani pa kutambikia napo pengine palipoinukia juu, hata chini ya kila mti uliokuwa wenye majani mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatoa dhabihu na kufukiza uvumba katika mahali pa juu, na vilimani, na chini ya kila mti wenye majani mabichi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitoa sadaka na kufukiza ubani pahali pa kuabudia miungu mingine, juu ya vilima na chini ya kila muti wenye majani mabichi.