2 Chronicles 28:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zikri, askari mmoja shujaa wa Israeli, alimuua Maaseya, mwana wa mfalme, Azrikamu, kamanda wa Ikulu, na Elkana aliyekuwa mtu wa pili chini ya mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zikri, askari shujaa Mwefraimu, akamuua Maaseya mwana wa mfalme, Azrikamu mkuu wa jumba la kifalme na Elkana aliyekuwa wa pili kwa mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Zikri, mtu hodari wa Efraimu, akawaua Maaseya mwana wa mfalme, na Azrikamu mkuu wa nyumba, na Elkana, aliyekuwa wa pili wake mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zikri, askari mmoja shujaa wa Israeli, alimuua Maaseya, mwana wa mfalme, Azrikamu, kamanda wa Ikulu, na Elkana aliyekuwa mtu wa pili chini ya mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zikri, askari shujaa Mwefraimu, akamwua Maaseya mwana wa mfalme, Azrikamu mkuu wa jumba la kifalme na Elikana aliyekuwa wa pili kwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zikri, askari shujaa Mwefraimu, akamuua Maaseya mwana wa mfalme, Azrikamu mkuu wa jumba la kifalme na Elikana aliyekuwa wa pili kwa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Zikri, mtu hodari wa Efraimu, akawaua Maaseya mwana wa mfalme, na Azrikamu mkuu wa nyumba, na Elkana, aliyekuwa wa pili wake mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zikri, askari mmoja shujaa wa Israeli, alimuua Maaseya, mwana wa mfalme, Azrikamu, kamanda wa Ikulu, na Elkana aliyekuwa mtu wa pili chini ya mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata Zikiri, fundi wa vita wa Waefuraimu, akamwua Masea, mwana wa mfalme, na Azirikamu, mkuu wa nyumba ya mfalme, na Elkana aliyemfuata mfalme kwa ukuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Zikri, mtu hodari wa Efraimu, akawaua Maaseya mwana wa mfalme, na Azrikamu mkuu wa nyumba, na Elkana, aliyekuwa wa pili wake mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zikiri, askari mumoja shujaa wa Israeli, alimwua Maseya, mwana wa mufalme, Azirikamu, musimamizi wa nyumba ya kifalme, na Elekana aliyekuwa mutu wa pili kwa mufalme.