2 Chronicles 29:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, nimeamua kwa dhati kufanya agano na Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, ili asitukasirikie zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa ninadhamiria moyoni mwangu kufanya agano na Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, ili hasira yake kali igeuziwe mbali nasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi nia yangu ni kufanya agano na Bwana, Mungu wa Israeli, ili kwamba hasira yake kali itugeukie mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, nimeamua kwa dhati kufanya agano na Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, ili asitukasirikie zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa ninadhamiria moyoni mwangu kuweka Agano na BWANA, Mungu wa Israeli, ili hasira yake kali igeuziwe mbali nasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa ninadhamiria moyoni mwangu kuweka Agano na bwana, Mungu wa Israeli, ili hasira yake kali igeuziwe mbali nasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi nia yangu ni kufanya agano na BWANA, Mungu wa Israeli, ili kwamba hasira yake kali itugeukie mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, nimeamua kwa dhati kufanya agano na Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, ili asitukasirikie zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa mimi nimejipa moyo, nifanye agano na Bwana Mungu wa Isiraeli, makali yake yawakayo moto yatuondokee.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi nia yangu ni kufanya agano na BWANA, Mungu wa Israeli, ili kwamba hasira yake kali itugeukie mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, nimeamua ndani ya moyo wangu kufanya agano na Yawe, Mungu wa Israeli, kusudi asitukasirikie zaidi.