2 Chronicles 29:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawa waliwakusanya Walawi wenzao, wakajitakasa. Kisha wakaingia kama walivyotakiwa kufanya na mfalme, wakaanza kusafisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu kama Mwenyezi-Mungu alivyoagiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipomaliza kuwakusanya ndugu zao na kujiweka wakfu, wakaingia ndani ili kutakasa Hekalu la Mwenyezi Mungu, kama vile mfalme alivyokuwa ameagiza, kwa kufuata neno la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakawakusanya ndugu zao, wakajitakasa, wakaingia, kama alivyoamuru mfalme kwa maneno ya Bwana, ili waisafishe nyumba ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawa waliwakusanya Walawi wenzao, wakajitakasa. Kisha wakaingia kama walivyotakiwa kufanya na mfalme, wakaanza kusafisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu kama Mwenyezi-Mungu alivyoagiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipomaliza kuwakusanya ndugu zao na kujiweka wakfu, wakaingia ndani ili kutakasa Hekalu la BWANA, kama vile mfalme alivyokuwa ameagiza, kwa kufuata neno la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipomaliza kuwakusanya ndugu zao na kujiweka wakfu, wakaingia ndani ili kutakasa Hekalu la bwana, kama vile mfalme alivyokuwa ameagiza, kwa kufuata neno la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakawakusanya ndugu zao, wakajitakasa, wakaingia, kama alivyoamuru mfalme kwa maneno ya BWANA, ili waisafishe nyumba ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawa waliwakusanya Walawi wenzao, wakajitakasa. Kisha wakaingia kama walivyotakiwa kufanya na mfalme, wakaanza kusafisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu kama Mwenyezi-Mungu alivyoagiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawakusanya ndugu zao, wakajieua; kisha wakaja kwa agizo la mfalme kuitakasa Nyumba ya Bwana, kama Bwana alivyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakawakusanya ndugu zao, wakajitakasa, wakaingia, kama alivyoamuru mfalme kwa maneno ya BWANA, ili waisafishe nyumba ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa wakawakusanya Walawi wenzao, wakajitakasa. Kisha wakaingia kama walivyotakiwa kufanya na mufalme, wakaanza kusafisha nyumba ya Yawe kama vile Yawe alivyoagiza.