2 Chronicles 29:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatimaye, waliwaleta wale mbuzi madume wa sadaka ya kuondoa dhambi karibu na mfalme na watu wote waliokuwamo, nao wakaweka mikono yao juu ya hao mbuzi madume.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale beberu waliokuwa kwa ajili ya sadaka ya dhambi wakaletwa mbele ya mfalme na kusanyiko nao wakaweka mikono yao juu hao beberu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakawaleta karibu mabeberu wa sadaka ya dhambi mbele ya mfalme na kusanyiko; wakawawekea mikono yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatimaye, waliwaleta wale mbuzi madume wa sadaka ya kuondoa dhambi karibu na mfalme na watu wote waliokuwamo, nao wakaweka mikono yao juu ya hao mbuzi madume.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale mabeberu waliokuwa kwa ajili ya sadaka ya dhambi wakaletwa mbele ya mfalme na kusanyiko nao wakaweka mikono yao juu hao mabeberu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale mabeberu waliokuwa kwa ajili ya sadaka ya dhambi wakaletwa mbele ya mfalme na kusanyiko nao wakaweka mikono yao juu hao mabeberu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakawaleta karibu mabeberu wa sadaka ya dhambi mbele ya mfalme na kusanyiko; wakawawekea mikono yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatimaye, waliwaleta wale mbuzi madume wa sadaka ya kuondoa dhambi karibu na mfalme na watu wote waliokuwamo, nao wakaweka mikono yao juu ya hao mbuzi madume.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakawapeleka madume ya mbuzi ya weuo mbele ya mfalme na mbele ya huo mkutano, wakawabandikia mikono yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakawaleta karibu mabeberu wa sadaka ya dhambi mbele ya mfalme na kusanyiko; wakawawekea mikono yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, wakawaleta wale mbuzi dume wa sadaka ya maandoleo ya zambi karibu na mufalme na watu wote waliokuwa mule, nao wakaweka mikono yao juu ya mbuzi dume wale.