2 Chronicles 29:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walawi walisimama na vyombo vya muziki vya Daudi, pia makuhani walisimama wakiwa na tarumbeta zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Walawi wakasimama tayari wakiwa na ala za uimbaji za Daudi na makuhani walikuwa na tarumbeta zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasimama Walawi wenye vinanda vya Daudi, na makuhani wenye mapanda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walawi walisimama na vyombo vya muziki vya Daudi, pia makuhani walisimama wakiwa na tarumbeta zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Walawi wakasimama tayari wakiwa na ala za uimbaji za Daudi na makuhani walikuwa na tarumbeta zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Walawi wakasimama tayari wakiwa na ala za uimbaji za Daudi na makuhani walikuwa na tarumbeta zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasimama Walawi wenye vinanda vya Daudi, na makuhani wenye parapanda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walawi walisimama na vyombo vya muziki vya Daudi, pia makuhani walisimama wakiwa na tarumbeta zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Walawi wakasimama na kuvishika vyombo vya Dawidi, nao watambikaji wakashika matarumbeta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasimama Walawi wenye vinanda vya Daudi, na makuhani wenye mapanda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walawi walisimama na vyombo vya muziki vya Daudi, vilevile makuhani walisimama wakiwa na baragumu zao.